Msaada: Yeyote aliyeko Makambako anisaidie blanket hii baridi itaniua leo

Hakuna sehemu yenye baridi kama Siberia lakini Warusi huwa wanaidhibiti kwa Vodka tu mpaka inakaa sawa.
 
Nilikuwa juzi leo nipo somewhere mkoani Ruvuma.
 
Ndicho unachowaza pekee??πŸ€“πŸ˜…πŸ™Š
Kuuliza si ujinga, nilimsikia Jamaa mmoja kwenye CNN akiwa New York akidai kwamba Vibamia vimegoma kwa sababu ni -8Β°

Sasa nikawa najisemea moyoni hivi anaongea kweli au alikuwa anataka kutokelezea tu.
 
Kinasinyaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kuna member niliona kaandika hadi balls zinarudi ndani πŸ€£πŸ™Œ
Kuna fununu kwamba Second Ice age inakuja kwa hiyo itatupidi tuwe tunatumia Pumps ili kuongeza Blood flow kwenye Kibamia?πŸ€”...anyway wacha nicheke πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Mimi huwa nasemaga hakuna hali ya hewa kama Shinyanga Tabora na Morogoro hususan kwa watu wenye Mshipa wa Ngiri sijui Ngiri walimuongezaje hapo Wataalamu wetu bhana.
 
Hivi wachawi wa huko na baridi kama hilo huwa wanawanga na makkoti au uchi uchi [emoji848][emoji848]

Mshana Jr [emoji23][emoji1787]

Nakumbuka elfu 2020 nilikuwa mafinga kwenye msiba alafu tuliingia kijiji kidogo na kufika kule pakulala Hakuna tukalala kwenye gari aisee sitakaa nisahau na ilikuwa mwezi wa6 Yani ile baridi tulipiga nyagi ikadunda, nimevaa sweta, Koti, shuka lakimasai lakini wapi! Ajabu sa 12 nimeshuka kwenye gari nikaanza kufanya mazoezi yakukimbia ili nipunguze baridi maana sikulala!!! Nakutana na katoto katakuwa la kwanza kameachia vifungo wazi hakajafunga kamebeba kidumu cha litre 5 cha maji kanipiga mpira huku kanatembea kuelekea shule...... Yani kenyewe akasikii baridi ilibidi nisimame nimuangalie kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha uoga kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…