Hakuna yeyote alienufaika na huo uzushi, hapo ni wizi kwa kwnda mbele, na Zitto alishakataa kua hahusiki na hiyo kitu.Niliona mahali juu ya
habar kua mh.zito kabwe ameanz kutoa mikopo kupitia zitto kabwe
fundation.nikapita katk link waliyoweka.ila nataka pata uhakika je ni
ukwel au ni wajanja wajanja wa mjin tu.mana unahitajika.kulipia elfu 85
awali ndo upate uo.mkopo.msaada tafadhali
wambie hio 85,000 wakate kwenye mkopo watakaokupa.
wambie hio 85,000 wakate kwenye mkopo watakaokupa.
Mkuu wangu upo?
Za masiku?
Yeah,Nipo mambo mengi tu