Msaada: Yeyote anaejua na ambae amewahi kunufaika na Zitto Kabwe Fund.

Msaada: Yeyote anaejua na ambae amewahi kunufaika na Zitto Kabwe Fund.

muhala.jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
746
Reaction score
655
Niliona mahali juu ya habari kuwa. Zitto Kabwe ameanza kutoa mikopo kupitia zitto kabwe fundation.

Nikapita katk link waliyoweka.ila nataka pata uhakika je ni ukwel au ni wajanja wajanja wa mjin tu.mana unahitajika.kulipia elfu 85 awali ndo upate huo.mkopo.msaada tafadhali
 
Niliona mahali juu ya
habar kua mh.zito kabwe ameanz kutoa mikopo kupitia zitto kabwe
fundation.nikapita katk link waliyoweka.ila nataka pata uhakika je ni
ukwel au ni wajanja wajanja wa mjin tu.mana unahitajika.kulipia elfu 85
awali ndo upate uo.mkopo.msaada tafadhali
Hakuna yeyote alienufaika na huo uzushi, hapo ni wizi kwa kwnda mbele, na Zitto alishakataa kua hahusiki na hiyo kitu.

Kifupi hao ni MATAPELI:
 
Last edited by a moderator:
kimbia, hao ni matapeli hata zitto Mwenyewe kawakana
 
Pole sana mkuu..Hakuna kitu kama hicho, huo ni utapeli tu!Kuwa macho itakula kwako.Tanzania yetu vituko haviishi ni kama vile vyombo vya dola vimelala!!
 
Back
Top Bottom