Msaada zaidi katika kujua mtaji,mahitaji, faida na changamoto biashara ya kiwanda cha maandazi na mikate

Mahitaji muhimu ni
1. seti ya Bakery equipment (oven, moulds, kneeding machine, slicer etc.)pamoja deepfrier,
2. Meza na makabati kwa ajili ya kuepulia na kutunzia, display n.k
3. Sehemu ya kuweka hiyo mitambo na sehemu ya kuuzia
4.Vifungashio
5. Boda au baiskeli kusambaza bidhaa
6. Wapishi
Assuming utasimamia mwenyewe.

Gharama za vifaa inategemea na ukubwa wa biashara unayotaka kuanzisha.
 
Nash

Nashukuru sana ila ningependa na kuomba kujua maximum capital
 
Back
Top Bottom