Abuu Hafswa
Member
- Sep 29, 2016
- 82
- 19
Ofisi za kanda ya ziwa zipo mwanza jirani na ofisi za jiji au maji house,Barabara ya balewa,jengo linaitwa Ekaclif ghorofa ya 8Ya ziwa
Vp ndgHabari za muda huu wadau
Nimekumbuna na changamoto hii wakati wa kufanya application NACTE, nimefanya mawasiliano na chuo husika ila sijapata msaada wowote hivyo nimekusudia kwenda nacte. View attachment 1112668
Walishahama huko now wapo buzuruga jengo la TFDAOfisi za kanda ya ziwa zipo mwanza jirani na ofisi za jiji au maji house,Barabara ya balewa,jengo linaitwa Ekaclif ghorofa ya 8