Msaada zilipo ofisi za NACTE Kanda ya Ziwa

Msaada zilipo ofisi za NACTE Kanda ya Ziwa

Abuu Hafswa

Member
Joined
Sep 29, 2016
Posts
82
Reaction score
19
Habari za muda huu wadau

Nimekumbuna na changamoto hii wakati wa kufanya application NACTE, nimefanya mawasiliano na chuo husika ila sijapata msaada wowote hivyo nimekusudia kwenda NACTE.

IMG_20190531_064336_165.jpg
 
Back
Top Bottom