Nyakwec's Bro
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 820
- 174
Nashukuru sana mkuu ngoja nimcheki!...Ebu mpigie simu Edward shighula 0717116967 atakupa maelekezo
Nashukuru sana mkuu,ngoja niwasiliane nae pia!...Hebu mtumie email Security Officer wa World Vision atakupa Maelekezo. Anaitwa Muganda.
Email yake: elias_muganda@wvi.org
Au mpigie 0782 744 746
hivi mkuu Mungi na King Kong III, ni sawa kudisplay info personal za watu sehemu public...nadhani mngePM tu wakuu.
hivi mkuu Mungi na King Kong III, ni sawa kudisplay info personal za watu sehemu public...nadhani mngePM tu wakuu.
Hizo Info nilizoweka ni Public Bonyeza Hapa Uone
Hao siyo watu wanaoficha personal zao, ni watu ambao wako flexible wanafahamika.