RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,516
- 1,775
Ngoja wake kukupa mwongozoHello mambers,
Naomba sana msaada wenu, niliomba kazi kwenye shirika moja la wa Norway, juzi nikatumiwa email kuwa nimekuwa shortlisted hivyo nitafanya interview via zoom.
Naomba kuuliza maana nilipewa link lakini nki-click ata hai-load. Na je unaweza kufanya zoom Kwa kutumia simu na sio computer? Na je itabidi uwe na Zoom app kwenye simu Yako?
Na je Meeting ID, na passcode zinamaanisha Nini?
Nisaidie wakuu nisije kuhaibika mbele ya wa Norway.
Asante sana mkuu, nime install zoom app, ila link niliyopewa nki-click hai-load, je Kuna shida au link itakuwa active tarehe ya interviewNikiwa na bundle la mawazo huwa natumia simu tu na inafanya kazi fresh.. Ila cha msingi fanya testing ili ujue position ya simu itakayokufanya uonekane vizuri katika video call. Pc haina hii shida kwa sababu ni kubwa zaidi kwa hiyo itakutoa fresh
Download zoom app, anzisha account yako kama social media tu au email inavyokuwa. Then click hiyo link itakayopeleka moja kwa moja katika app na hivyo utajoin directly kwenye interview
Meeting ID na passcode ni utambulisho wako tu ili mtu aliyeweka appointment nawe ajue, katika hiyo interview ya muda flani anafanya interview na candidate flani ndio maana ukiingia tu, utakuta majina yako na Job post vinaonekana..
Na pia hizo zinatumika kama unatumia labda laptop au kifaa ambacho hauna access ya ku_click hiyo link directly from an email kwenda kwa app. Hivyo ukifungua app, utakutana na sehemu ya kuingiza passcode na meeting ID manually.. Hivyo tu, hata sio kitu vigumu.. All the best mkuu
Asante mkuu, hii join a meeting naingiza Meeting ID siku ya interview au ata sahivi naweka tu hakuna shida.Kwa shughuli kama interview nakushauri utumie PC.
Meeting ID ni namba pekee ya mkutano wako ulioalikwa (kama namba ya mualiko) si kila mtu ataweza kuingia na kuona hiyo interview yako ndio maana wamekupa passcode ambayo ni kama neno siri linalokuwezesha kuingia kwenye mkutano waliokualika.
Kwenye zoom tafuta mahali pameandikwa join itakuletea form ya kuingiza meeting ID na Passcode.
View attachment 2974958
View attachment 2974959
Jaribu kuingiza hizo passcode na meeting ID manually hone kama itakubali.. Link huwa ipo active muda woteAsante
Asante sana mkuu, nime install zoom app, ila link niliyopewa nki-click hai-load, je Kuna shida au link itakuwa active tarehe ya interview
Hadi tarehe na mda wa inteview ndo utaweza kutumia hizo details ilozotumiwa! Sahivi focus na kufanya maandalizi kwa ajili ya interview!Asante
Asante sana mkuu, nime install zoom app, ila link niliyopewa nki-click hai-load, je Kuna shida au link itakuwa active tarehe ya interview
Mmm zikizingua? Maana link haikubaliHadi tarehe na mda wa inteview ndo utaweza kutumia hizo details ilozotumiwa! Sahivi focus na kufanya maandalizi kwa ajili ya interview!
Nimeingiza izo Meeting ID imekubali ila Link haifunguki.Jaribu kuingiza hizo passcode na meeting ID manually hone kama itakubali.. Link huwa ipo active muda wote
Mmm zikizingua? Maana link haikubali
Nimeingiza izo Meeting ID imekubali ila Link haifunguki.
Kijana anaweza pata danga la ki Norway [emoji16]Bhasi tumia hiyo password na meeting ID, yawezekana aliyeiweka labda kuna kitu kakosea..
Fanya hivyo ili norway isikupite mkuu [emoji1431][emoji16]
Ooh sawa mkuu, so nkitaka kui-install zoom Kwa PC, naidownload via Google? Na je niwaombe wanitumie upya link au ntumie Meeting ID tu.Bhasi tumia hiyo password na meeting ID, yawezekana aliyeiweka labda kuna kitu kakosea..
Fanya hivyo ili norway isikupite mkuu ππ½π
ππππ I guess ni shirika la norway ila wapo Tanzania. Akaze tuKijana anaweza pata danga la ki Norway [emoji16]
Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
Kama option ipo hakuna haja ya kuwarudia unless mtu aliyekutumia email tayari ushaongea nae kwenye simu. Hiyo itakuwa rahisi lakini kama umetumiwa tu email. Mlolongo utakuwa mkubwa na baadhi ya interviewers wapo sensitive kupitiliza so, kitu kidogo tu wanaanza kukutilia shakaOoh sawa mkuu, so nkitaka kui-install zoom Kwa PC, naidownload via Google? Na je niwaombe wanitumie upya link au ntumie Meeting ID tu.
Link inazingua ila nkitumia meeting ID iko poa, issue ni jinsi ya kui-install zoom Kwa PC,nafanyaje maana kwavPC hamna play storeTumia laptop/desktop yenye camera; iwe na mtandao, bonyeza link, weka ID; kwa majaribio unaweza kufanya hivyo hakuna shida.
Ila haya mashirika ya nje hayanaga zile propaganda za upinde kweli?
Asante Sana mkuu, na nkitaka kui-install zoom kwenye PC yangu naingilia wap maana PC haina play storeKama option ipo hakuna haja ya kuwarudia unless mtu aliyekutumia email tayari ushaongea nae kwenye simu. Hiyo itakuwa rahisi lakini kama umetumiwa tu email. Mlolongo utakuwa mkubwa na baadhi ya interviewers wapo sensitive kupitiliza so, kitu kidogo tu wanaanza kukutilia shaka
So nenda kwa safe side, japo nahisi hilo shirika ni NV TZ.. Kama ni hao, wapo polite sana
Link inazingua ila nkitumia meeting ID iko poa, issue ni jinsi ya kui-install zoom Kwa PC,nafanyaje maana kwavPC hamna play store
Sorry mkuu zoom ya 50min, bando la 500m, linatosha?Kama option ipo hakuna haja ya kuwarudia unless mtu aliyekutumia email tayari ushaongea nae kwenye simu. Hiyo itakuwa rahisi lakini kama umetumiwa tu email. Mlolongo utakuwa mkubwa na baadhi ya interviewers wapo sensitive kupitiliza so, kitu kidogo tu wanaanza kukutilia shaka
So nenda kwa safe side, japo nahisi hilo shirika ni NV TZ.. Kama ni hao, wapo polite sana