weka 2GbSorry mkuu zoom ya 50min, bando la 500m, linatosha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
weka 2GbSorry mkuu zoom ya 50min, bando la 500m, linatosha?
halafu mambo mengine unazama search engine unapata info si kila kitu cha kuja kuuliza. maandalizi mema na kila la heri. pambania kombe. maisha ya ukimani sio maisha.Asante Sana mkuu, na nkitaka kui-install zoom kwenye PC yangu naingilia wap maana PC haina play store
Nakushauri weka kuanzia GB moja kama utaweza maana Mb zitaenda kutokana quality ya resolution mnayotumia.. So GB kuanzia moja itakupa assurance kiasiSorry mkuu zoom ya 50min, bando la 500m, linatosha?
Mkuu kazi ulipata?Hello mambers,
Naomba sana msaada wenu, niliomba kazi kwenye shirika moja la wa Norway, juzi nikatumiwa email kuwa nimekuwa shortlisted hivyo nitafanya interview via zoom.
Naomba kuuliza maana nilipewa link lakini nki-click ata hai-load. Na je unaweza kufanya zoom Kwa kutumia simu na sio computer? Na je itabidi uwe na Zoom app kwenye simu Yako?
Na je Meeting ID, na passcode zinamaanisha Nini?
Nisaidie wakuu nisije kuhaibika mbele ya wa Norway.