Msaada Zoom interview

Msaada Zoom interview

Asante Sana mkuu, na nkitaka kui-install zoom kwenye PC yangu naingilia wap maana PC haina play store
halafu mambo mengine unazama search engine unapata info si kila kitu cha kuja kuuliza. maandalizi mema na kila la heri. pambania kombe. maisha ya ukimani sio maisha.
 
Hello mambers,

Naomba sana msaada wenu, niliomba kazi kwenye shirika moja la wa Norway, juzi nikatumiwa email kuwa nimekuwa shortlisted hivyo nitafanya interview via zoom.

Naomba kuuliza maana nilipewa link lakini nki-click ata hai-load. Na je unaweza kufanya zoom Kwa kutumia simu na sio computer? Na je itabidi uwe na Zoom app kwenye simu Yako?

Na je Meeting ID, na passcode zinamaanisha Nini?

Nisaidie wakuu nisije kuhaibika mbele ya wa Norway.
Mkuu kazi ulipata?

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom