Msaada

mkandya27

Senior Member
Joined
Oct 26, 2015
Posts
153
Reaction score
30
Jamani Nina tatizo moja sehemu ya lips zangu za mdomo huwa kuna bandukabanduka na wakati mwingine ukioga vinatokea vitu vyeupe baadae vinakauka na kuchubuka nakuacha mdomo ukiwa na rangi nyekundu nimetafuta dawa mpaka basi ushauri wenu jamani
 
vimekuanza lini, umehama mji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…