Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vimekuanza lini, umehama mjiJamani Nina tatizo moja sehemu ya lips zangu za mdomo huwa kuna bandukabanduka na wakati mwingine ukioga vinatokea vitu vyeupe baadae vinakauka na kuchubuka nakuacha mdomo ukiwa na rangi nyekundu nimetafuta dawa mpaka basi ushauri wenu jamani