Msaada

Msaada

claus2

Member
Joined
Jun 3, 2016
Posts
8
Reaction score
3
Jaman mm nilikuwa napiga sana masterbation au kujichua sasa misuli ya uume wangu umelegea sana na ombeni ushahuri kwa yoyote anaejua dawa ili nilejee kama awali
 
Hebu fafanua umepiga kwa miaka mingapi na yamekukuta yapi, sasa ukielezea juu juu na majibu nayo yanakua ya juu juu
 
Nenda kwa waganga wa Miti shamba wanadawa za kupaka na Kunywa

note: epuka matapeli
 
Back
Top Bottom