umeimprove kweli sku hizi. nimekulike hapo juu
Yani mshkaji kamwambia mdogo mi nampenda dada yako na akikubali ntamuoa.Mdogo mtu hana tatizo ila anashangaa kama hawataonekana wa ajabu!
ni poa na inanoga kabisa yaani, halaf faida nyengine ya kisayansi ni DNA inakuwa well protected. hivi hili suala mbona liko vere simple.Kloro kwahiyo we unaona poa kabisa?
Dearest yani we acha tu!Kwanza nijuze uzima wako kabla sijakupa presha!
baada ya kuona miguu yako nimesahau hata nataka kucomment nini! khaa! wanaume tuna majaribu wallahi. viatu tu vinatupotezea memori. toba!Kimadili si sawa hata kama wameridhia hao wahusika sio tamaduni yetu wa tz kwani tumekuwa waarabu sie.
Kama wahusika wote ni watu wazima na wote wameridhia kwa hiyari yao, basi mimi kama mimi wala sina tatizo lolote lile. Acha waishi waonavyo ni sawa.
Si sawa kwa mujibu wa maadili ya nani? Na utamaduni wa "tz" ndo upi huo? Manake sijawahi sikia kuwa kuna uniformity katika huo so called utamaduni wa tz!!!
Hivi hakuna makabila ambapo wanaume wanarithi wadogo za wake zao endapo wake zao wakifa?
VM kama ungekua mmoja wao je ungekubali either kuoa..kuolewa au dada yako aolewe?
baada ya kuona miguu yako nimesahau hata nataka kucomment nini! khaa! wanaume tuna majaribu wallahi. viatu tu vinatupotezea memori. toba!
huyo ex wa jamaa ambae wewe ni dadaako hana mtoto?DNA inaingia vipi Kloro?
Hapo umegusia swala la kifo thats a different case (ingawa sidhani if its still going on) lakini mtu uko hai then mchumba or so called b/fried anatembea/anamuoa dada yako hata kama wameridhia haipendezi hata kidogo.
haka kamrembo kamekuwa katiifu kweli sku hizi. acha limalize hili sredi halaf uniorozeshee matatizo yako yote nitatue. umeniimpress sana tangu urudi loliondo.kama ulivyonifundisha mpenzi....nikaridhia ndo kama hivi!!!:washing:
Alafu we endelea kuchakachua kama sijakuchakachua na wewe!
Mi mzima dearest!Mmh presha ya kukwambia nataka kuolewa na x wa kadogoo dearest!
najua umuhimu wa hili sredi kwako. wewe usjali, kusanya porojo zote hapa halaf nitakupatia conclusion lakini naomba majibu ya masuala yafuatayo?Alafu we endelea kuchakachua kama sijakuchakachua na wewe!
haka kamrembo kamekuwa katiifu kweli sku hizi. acha limalize hili sredi halaf uniorozeshee matatizo yako yote nitatue. umeniimpress sana tangu urudi loliondo.
Inaweza isipendeze machoni mwako lakini kwao wao hakuna shida.
Hata wewe unaweza ukavaa kimini wewe ukajiona umependeza huku wengine wakakuona kituko tu.
Mwisho wa siku kama wahusika hawana tatizo basi nami sina tatizo ingawa ningekuwa mimi ndo niko kwenye situation kama hiyo ningechagua au kuamua tofauti na walivyofanya wao!