Utamuweza huyo dearest..yani ukijibu salamu yake tu unamtaka!
Asante sana dearest kwa kukubali!Ombi lingine ni kwamba Kloro awe kushoto kwako siku hiyo!Nampa ujiko ili atoe zawadi ya maana!jamani Lizzy,ni heshima kubwa sana dearest wangu....kwa moyo wangu,akili yangu na mwili wangu nitakubali kuwa maid of honour....sema lingine....!!!!
hakyanani ukifuja CV langu nakuloga. nakuvimbisha tumbo bila ujauzito. hapa niko serious kabisaukihitaji kufahamu/kujua lolote kuhusu Kloro niambie....ndo mtu pekee namfahamu/mjua vizuri hapa JF.....you are welcome dear :juggle:
Asante sana dearest kwa kukubali!Ombi lingine ni kwamba Kloro awe kushoto kwako siku hiyo!Nampa ujiko ili atoe zawadi ya maana!
hakyanani ukifuja CV langu nakuloga. nakuvimbisha tumbo bila ujauzito. hapa niko serious kabisa
Pamoja na uchungu wake wote!Kweli bahati ya Kloro wengine wasiilalie barazani!
Eti jamani kama msichana amewahi kuwa na mtu alafu wakaachana...huyo kaka akija kumuoa dada wa msichana ni sawa?Hapo wote wanajua na wameridhia sio kinyemela!
ombi limekubaliwa dearest....alivyo mzuri sipati picha,shalobaro Kloro atakavyong'arisha picha.....umempa hiyo nafasi atakuja kuomba hela sasa hivi tukununulie range.....Lizzy hunionei huruma,wajua mimi ndo namtunza huyo shalobaro,anipe mtoto basi....anyway,kwakuwa ni wewe chochote atakachotaka tutakupa....:washing:
1.Hata chembe! 2. Aliyeachana maana ndiye aliyejulishwa na ex! Mwisho nimekua siriaz ili nisifanane na mtu fidenge!
Hahaha utasuuza sana siku hiyo dearest!Ila sas we ungekua mwenyewe ungenipa zawadi gani maana unaogopa Kloro asijesema Range..tena sport!