Msaada

Msaada

Namkunda OG

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2015
Posts
827
Reaction score
1,048
Naanza wiki ya pili sasa toka tatizo hili lianze naomba msaada ....napenda kujua chanzo cha tatizo na nini Tiba yake ....yani mate yamekauka mdomoni napata Shida kula kwa sasa inanibidi Nile uku nakunywa maji ..nisaidieni wapedwa
 
MMH AISEE POLE SANA MKUU... JARIBU KWENDA HOSPITALI KWA UCHUNGUZI ZAIDI
 
Back
Top Bottom