MsAADA

MsAADA

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Namaste! Ni matumaini yangu jumapili inaendelea vizuri kwa wewe uliopo nyumbani na familia,wewe unaotumia vibaya internet ya ofisini kwa kuingia Jf,wewe ambae bundle yako ndo inaishia na hata wewe ambae umetulia sehem unapata kilaji. Nilipeleka swali lang kwenye jamvi husika but sikupata jibu kwaio naomba msaada wenu japo haihusian na jamvi husika(i bet ths is the most visted forum). Swali ni kwamba,ningependa kufaham historia ya huu mtindo wakucheza aina ya 'Kiduku'. Je ulianzia wapi orign yake na hapa bongo uliingia lini na ni nani muasisi wake kwa hapa bongo? Sio siri vijana hunikosha sana wanapocheza muziki kwa mtindo huu,unanikumbusha enz zetu miakaya 70 wakat tunalisakata rhumba pale DDC!
 
Mhh sijui hata kiduku wanachezaje hebu tuwekee japo video
 
muhenga
 
Back
Top Bottom