sima salva official
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 210
- 89
Sure, maana kutumia vitu kwa kuelekezwa kienyeji sio poa. Maana ngozi zinatofautiana. Mwengine anaweza akatumia tiba flani ikamsaidia lkn tiba hiyo hiyo inaweza isikusaidie.Cha kufanya nenda hospitali ukaonane na mtaalamu wa ngozi akushauri dawa ipi ni sahihi!! au ukiona vipi nenda kwa wale wa tiba mbadala utumie vitu asilia
Ndio kiongozi, wataalamu wana majibu sahihi kuliko hapaSure, maana kutumia vitu kwa kuelekezwa kienyeji sio poa. Maana ngozi zinatofautiana. Mwengine anaweza akatumia tiba flani ikamsaidia lkn tiba hiyo hiyo inaweza isikusaidie.