Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,008
I think hauelewi mini statement or maybe you are kiddingMi sijaelewa kitu labda nikiona majibu ntaelewa
Nimewapigia ila kuna ambayo wamenitumia haikuwa na namba.....thanks jose kwa ukarimu wakoJaribu kuwapigia Voda uwaulize kwa maana kumbukumbu zako zote za miamala wanayo kwenye System
OkayUsiligeuze jamii forum kama Dampo la kuķabidhi kila aina ya matatizo.....!!
Hebu wapigie mtandao hisika (customer care) wafanye kazi yao..!
poapoa[emoji106] [emoji106]Nimewapigia ila kuna ambayo wamenitumia haikuwa na namba.....thanks jose kwa ukarimu wako