Msaada

Msaada

Curious gal

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2014
Posts
3,200
Reaction score
4,008
Hellow
Hope mpo okay......nauliza hivi mini statement ya mpesa huwa ikitumwa namba za watu waliokutumia na kutuma hela huwa zinaonekana???

Nimetumiwa moja hapa haina hata namba za watu na mimi nina shida na namba ya mtu kupitia kwenye hiyo mini statement

Kama kuna mtu anajua naomba anisaidie nijue cha kufanya.....nina shida na hiyo namba sana
 
Jaribu kuwapigia Voda uwaulize kwa maana kumbukumbu zako zote za miamala wanayo kwenye System
 
Usiligeuze jamii forum kama Dampo la kuķabidhi kila aina ya matatizo.....!!

Hebu wapigie mtandao hisika (customer care) wafanye kazi yao..!
 
Back
Top Bottom