Msaada

OHB11

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2017
Posts
525
Reaction score
1,155
Jamani wale wanaojua kutengeneza simu hasa software nimenunua simu yangu aina ya samsung s7 brand ya verizon cha kushangaza zile code za samsung au ile code ya kucheki IMEI hazifanyi kazi nilijaribu kugoogle jinsi ya,kusolve wakasema ni clear cache partition nimefanya hivyo lakini nothing changed ila sim ni og fingerprint iko inafanya kazi yani simu inafunction vizuri ila tatizo ndiyo hilo tu so nilikua naomba mtu yeyote mwenye njia tofauti anielekeze wakuu
 
Unajuaje kama imetumika One week mkuu. Upo dar au wapi? Kama upo dar kesho njoo kariakoo
 
Mkuu pelea jukwaa la tec utasaidiwa tatizo lako
 
Unajuaje kama imetumika One week mkuu. Upo dar au wapi? Kama upo dar kesho njoo kariakoo
Kwamba me nikija k/koo najua automatically kwamba ww uko wap au?? Weka no yako hap nikucheki mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…