OHB11
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 525
- 1,155
Jamani wale wanaojua kutengeneza simu hasa software nimenunua simu yangu aina ya samsung s7 brand ya verizon cha kushangaza zile code za samsung au ile code ya kucheki IMEI hazifanyi kazi nilijaribu kugoogle jinsi ya,kusolve wakasema ni clear cache partition nimefanya hivyo lakini nothing changed ila sim ni og fingerprint iko inafanya kazi yani simu inafunction vizuri ila tatizo ndiyo hilo tu so nilikua naomba mtu yeyote mwenye njia tofauti anielekeze wakuu