Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio kuna ulazima huo ili wawahoji na kuandika maelezo yao kesi ikianza waitwe kwa samansi kuja kukutolea ushahidi. unachotakiwa wewe nenda kafungue kesi halafu mpelelezi atakuja kuwatafuta mashahidi wako utakaokuwa umemtajia na kuwahoji. bofya hapa Sheria kwa Kiswahili (@sheriakwakiswahili) • Instagram photos and videosHabari zenu ndugu, kwa wale wenye uzoefu pamona elimu ya SHERIA, naomba kuuliza
=>Unapopeleka kesi polisi kabla ya kwenda mahakamani, kuna ulazima wa polisi kuonana na mashahid au mashahid wanatakiwa waonekane mahakamani tu. Maana nimekuwa na wasiwasi kidogo.
ni lazima mashahidi waonane na polisi ili waandikwe maelezo ya ushahidi.Habari zenu ndugu, kwa wale wenye uzoefu pamona elimu ya SHERIA, naomba kuuliza
=>Unapopeleka kesi polisi kabla ya kwenda mahakamani, kuna ulazima wa polisi kuonana na mashahid au mashahid wanatakiwa waonekane mahakamani tu. Maana nimekuwa na wasiwasi kidogo.