Msaada

Daud Johnson

Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
41
Reaction score
14
Habari zenu wanajukwaa? Ninatatizo kuhusiana na kupokea taarifa ya ujumbe wa message kutoka JF lakini ninapofunguwa ili nisome sioni ujumbe wowote.

Msaada tafadhali juu ya hili tatizo
 
Hahaha! Umenifurahisha aisee... Sasa dem anasababishaje hili? Coz hata sioni ujumbe wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…