Daud Johnson
Member
- Apr 9, 2018
- 41
- 14
Habari zenu wanajukwaa? Ninatatizo kuhusiana na kupokea taarifa ya ujumbe wa message kutoka JF lakini ninapofunguwa ili nisome sioni ujumbe wowote.
Msaada tafadhali juu ya hili tatizo
Msaada tafadhali juu ya hili tatizo