Anaweza, kikubwa ni matokeo yake ya kidato cha sita yamruhusu kujiunga na LL.B na kama hayamruhusu basi kwa matokeo yake ya kidato cha nne kama yanakidhi vigezo anaweza kuanza ngazi ya cheti kisha diploma baadaye degree na mwishowe kujiunga na Law school of Tanzania kwa ajili ya Postgraduate Diploma in LegalPractice