Msaada

Msaada

Ana bachelor of education, anaweza kusoma law?

Sent using Jamii Forums mobile app
Anaweza, kikubwa ni matokeo yake ya kidato cha sita yamruhusu kujiunga na LL.B na kama hayamruhusu basi kwa matokeo yake ya kidato cha nne kama yanakidhi vigezo anaweza kuanza ngazi ya cheti kisha diploma baadaye degree na mwishowe kujiunga na Law school of Tanzania kwa ajili ya Postgraduate Diploma in LegalPractice
 
haiwezekani kuanzia postgraduate?
 
Back
Top Bottom