Msaada

Kudo hapana sijado mda ngoja nijaribu hiyo option ya pili,asante
 
Wanaume nyonyeni matiti ya wake/ wapenzi wenu.
Nyonya kwa nguvu kubwa maana ni dawa dhidi ya Kansa ya matiti.
Dada pole, ila pia hakikisha mpenzi wako anakunyonya matiti yako kwa nguvu, ila asikung'ate.
Maumivu yakizidi, muone daktari!
 
Wanaume nyonyeni matiti ya wake/ wapenzi wenu.

Nyonya kwa nguvu kubwa maana ni sawa dhidi ya Kansa ya matiti.

Dada pole, ila pia hakikisha mpenzi wako anakunyonya matiti yako kwa nguvu, ila asikung'ate.

Maumivu yakizidi, muone daktari!

Jaribu kuwa serious kwenye vitu serious mkuu
 
Wanaume nyonyeni matiti ya wake/ wapenzi wenu.
Nyonya kwa nguvu kubwa maana ni dawa dhidi ya Kansa ya matiti.
Dada pole, ila pia hakikisha mpenzi wako anakunyonya matiti yako kwa nguvu, ila asikung'ate.
Maumivu yakizidi, muone daktari!

Mkuu huu ushauri kumbe ulikuwa na maana dokta kaniprovia aisee
 
Hahaha ninatamani urudie maneno ya dokta aliyoyasema

Dokta:Unamume dada
Me:Hapana
Dokta:Mchumba
Me:Ndio
Dokta:Usimbanie mpe anyonye vizuri
Me:Ehh....ndo dawa yake dokta??
Dokta:Inachangia sio anateleza tu
 
Dokta:Unamume dada
Me:Hapana
Dokta:Mchumba
Me:Ndio
Dokta:Usimbanie mpe anyonye vizuri
Me:Ehh....ndo dawa yake dokta??
Dokta:Inachangia sio anateleza tu

Ewaaaaa yaani nimesoma mara 4.

Aisee mliteta kiutamu sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…