Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,385
- 10,659
Good, basi wahi hospitalSijawai zitumia pia sinyonyeshi wala si mjamzito
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good, basi wahi hospitalSijawai zitumia pia sinyonyeshi wala si mjamzito
Kama uli do siku za karibuni bila ndom ujue hiyo ni dalili ya kitu inaitwa ectopreg. Mimba nje ya mfuko wa uzazi.
Pili, hebu lala chali, usiweke pillow kichwani bali ingefaa hata juu ya sakafu, anza kuviringa taratiibu kwa mkono wako wa kuume kuanzia kifuani ulizunguke hilo ziwa (titi) taratiib sana huku ukiongeza speed. Uki-feel kitu kigumu katikati wahi tu hospital ni dalili za cancer.
Wanaume nyonyeni matiti ya wake/ wapenzi wenu.
Nyonya kwa nguvu kubwa maana ni sawa dhidi ya Kansa ya matiti.
Dada pole, ila pia hakikisha mpenzi wako anakunyonya matiti yako kwa nguvu, ila asikung'ate.
Maumivu yakizidi, muone daktari!
Sawa, mimi nilikuwa ninarejea utafiti. Kama hujanielewa basi, Hamna tabuJaribu kuwa serious kwenye vitu serious mkuu
Wanaume nyonyeni matiti ya wake/ wapenzi wenu.
Nyonya kwa nguvu kubwa maana ni dawa dhidi ya Kansa ya matiti.
Dada pole, ila pia hakikisha mpenzi wako anakunyonya matiti yako kwa nguvu, ila asikung'ate.
Maumivu yakizidi, muone daktari!
Mkuu huu ushauri kumbe ulikuwa na maana dokta kaniprovia aisee
Dokta:Unamume dada
Me:Hapana
Dokta:Mchumba
Me:Ndio
Dokta:Usimbanie mpe anyonye vizuri
Me:Ehh....ndo dawa yake dokta??
Dokta:Inachangia sio anateleza tu
Nimemwelewa sana asante bhana