Msaada

Msaada

Cachondo

Senior Member
Joined
May 6, 2019
Posts
144
Reaction score
139
Habar wakuu! Nahitaji kufanya biashara yani nijiajiri kwani maisha kwangu yamekuwa mtihani, nataka niwe nachukua bidhaa kisha nasambaza kwa mguu tu (free lancer) kwenye maduka.

Shida yangu ni je niwe na mtaji wa bei gani? Na nitapatia wapi hizo bidhaa? Kuna mtu alinambia kuna chimbo lipo k/koo, msaada nipo tutani
 
We nawe hata hujielewi ndio maana hata hujachangiwa mawazo
Unataka msaada Wa mawazo unajibanabana atakuelewa nani
Changamka,shauri yako
 
Kama uliambiwa kuna chimbo lipo kariakoo kwanini usiende mkuu,kuuliza gharama na bidhaa zinazotoka sana mtaani,hapo ndio utapata na uhalisia wa mtaji ni kiasi gani.kwani utakutana na wale machinga watakupa picha nzima ya mtaji,masoko na changamoto zake..

Usijifanye wewe ndio unajua kuchanganyikiwa mkuu hebu tuliza akili
 
Back
Top Bottom