Habar wakuu! Nahitaji kufanya biashara yani nijiajiri kwani maisha kwangu yamekuwa mtihani, nataka niwe nachukua bidhaa kisha nasambaza kwa mguu tu (free lancer) kwenye maduka.
Shida yangu ni je niwe na mtaji wa bei gani? Na nitapatia wapi hizo bidhaa? Kuna mtu alinambia kuna chimbo lipo k/koo, msaada nipo tutani