Kama uliambiwa kuna chimbo lipo kariakoo kwanini usiende mkuu,kuuliza gharama na bidhaa zinazotoka sana mtaani,hapo ndio utapata na uhalisia wa mtaji ni kiasi gani.kwani utakutana na wale machinga watakupa picha nzima ya mtaji,masoko na changamoto zake..
Usijifanye wewe ndio unajua kuchanganyikiwa mkuu hebu tuliza akili