Msaada

Equipment

Senior Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
187
Reaction score
168
Habari wakuu naombeni msaada wa link itakayoniwezesha kudownload video kwenye kompiyuta, pia iwe inauwezo wa kucheza kwenye deki za kaweida
 
Habari wakuu naombeni msaada wa link niwezayo Ku download video kwenye kompiyuta alafu iwe inauwezo wa kucheza kwenye deki za kaweida
Tuanzie kwenye mwandiko kwanza kabla ya kuendelea
 
Hapo ni mpka uiformat mkuu ili iweze kucheza kwenye deki yyte kuna ile application ya format factory ndo kazi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…