Davis chelsea Member Joined Jul 28, 2011 Posts 93 Reaction score 10 Aug 27, 2011 #1 Kati ya bachelor of science in microbolgy na bachelor of science in molecular biology and biotechnology ni ipi marketable?
Kati ya bachelor of science in microbolgy na bachelor of science in molecular biology and biotechnology ni ipi marketable?
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Aug 27, 2011 #2 Sciance haina market bongo mkuu,mayb upge hyo ya biotechnology afu uzamie meli,uibukie kwa obama,othrwise utaisoma namba.
Sciance haina market bongo mkuu,mayb upge hyo ya biotechnology afu uzamie meli,uibukie kwa obama,othrwise utaisoma namba.
Davis chelsea Member Joined Jul 28, 2011 Posts 93 Reaction score 10 Aug 27, 2011 Thread starter #3 daah mbona unanikatisha tamaa
Salanga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 364 Reaction score 44 Aug 27, 2011 #4 Dogo zote zina soko lakini zaidi ni hizo 2 za mwishoni,mimi mwenyewe nilizipenda sana hizo kozi lkn nikaipenda zaid md,kwa hiyo kama unaweza kula MD halaf hizo utazifanya kama Specialty.
Dogo zote zina soko lakini zaidi ni hizo 2 za mwishoni,mimi mwenyewe nilizipenda sana hizo kozi lkn nikaipenda zaid md,kwa hiyo kama unaweza kula MD halaf hizo utazifanya kama Specialty.
Mzee JF-Expert Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,602 Reaction score 5,809 Aug 27, 2011 #5 Science kbongobongo s khvyo. 2 za mwanzo.