Msaada

Msaada

Davis chelsea

Member
Joined
Jul 28, 2011
Posts
93
Reaction score
10
Kati ya bachelor of science in microbolgy na bachelor of science in molecular biology and biotechnology ni ipi marketable?
 
Sciance haina market bongo mkuu,mayb upge hyo ya biotechnology afu uzamie meli,uibukie kwa obama,othrwise utaisoma namba.
 
Dogo zote zina soko lakini zaidi ni hizo 2 za mwishoni,mimi mwenyewe nilizipenda sana hizo kozi lkn nikaipenda zaid md,kwa hiyo kama unaweza kula MD halaf hizo utazifanya kama Specialty.
 
Science kbongobongo s khvyo. 2 za mwanzo.
 
Back
Top Bottom