Msaada

Msaada

Tukirudi wenye mada; sasa kama hajawahi kukutamkia kama anakupenda; na wewe kutokana na maelezo yako naona ni mdada; je alikutongoza au ni wewe ulimtongoza? Na kama alikutongoza alitumia lugha gani hadi akaepuka neno nakupenda?

AU alikuwa anatumia ilo neno ila kwa sasa amestop? Maana hainijii akilini uwe na mpenzi ambaye hajawahi tumia neno I love you toka day one.
 
Kwani kuwa wapenzi ni lazima mfanye mapenzi?

mmh, ok kumbe mnaishi kitamthilia. Na ndio kosa la vijana wengi mapenzi ya tamthilia, tutafanya tukioana. Wenzio wakimshindilia vizuri wala hakukumbuki tena.
 
Achananae huyo ameshakuona hufai,usipende mtu yoyote akutese nafsi yako , au kama utang'ang'ana utajakuwa mke wa pili .
 
gud gud gud gud hongeren kwa kutimiza miez 9 bila kufanya chochote kinachoashira mapenzi, tatizo lako umekariri kuwa kila akupendae lzm akwambie i love u au i mic u wengine wanasema nakupenda au nakukumbuka.
 
kweli wewe mipango mji
 
sema nae,hapo naona huna chako,u re just other gal!kwake,wewe ni kama mama mlezi tu,mpenzi wake ni yule alikuwa nae chuo
 
Back
Top Bottom