Hadija Mwanamboka ana kituo cha kulea yatima Kinondoni na huwa anahitaji volunteers(nitakuwekea contacts hapa hivi punde), na pia kuna yatima Uporoto ambaye atashukuru kupata malezi mazuri wa muda huo mfupi.
FHI/Tanzania
Street Address:
FHI
Ali bin Said Street
Plot 1270, Oysterbay (behind Karibu hotel)Mailing Address:
PO Box 78082
Dar es Salaam, TanzaniaTelephone:
255 0 22 266 7815Fax:
255 22 260 7819
FHI 360
CARE Tanzania
P.O.BOX 10242
Dar es Salaam
Save the Children
Foundation For Civil Society
The Foundation for Civil Society | Tanzania
Tanzania Association of NGO's - TANGO
Off Shekilango Road Sinza Afrika Sana
P.O.BOX 31147 Dar es Salaam
+255 22 277 4582
Hope this helps.....If i get more i will add, most of the NGO's in Tanzania hawana addresses wala websites sometimes inabidi uende physically pale pale ili uweze kuonana na contact person
hongera Lizzy kwa kuwa na moyo huo..
ushauri wangu ungechukua na kuomba watu wakupe
nguo zao nzuri lakini haawazivai kwa sababu zozote zile
hizi zitawasaidia sana ukiwapelekea watoto yatima..
narudia hapa NGUO ZIWE NZURI na sio zile za kutupa...
Ntakua Dar katikati ya Dec - katikati ya Jan na nnahitaji sehemu ambayo naweza kufanya kazi... VOLUNTARILY..
Hadija Mwanamboka ana kituo cha kulea yatima Kinondoni na huwa anahitaji volunteers(nitakuwekea contacts hapa hivi punde), na pia kuna yatima Uporoto ambaye atashukuru kupata malezi mazuri wa muda huo mfupi.
khaaaaaa!Hahahha...
Nirushie hizo contacts kwanza alafu ntakufikiria!!!
Wasiliana na wizara ya mambo ya ndani kule Magereza wanahitaji sana watu wakujitolea
Nikupe mawasiliano ka Kamishna wa Magereza?
Lizzy, I wish ungeenda arusha, kuna nkoaranga orphans home. Iko like 15 kms from arusha town, owned by kkkt. Adorable kids,have had lunch with them a few times. Kama usipopata dar,I'm sure uta-vekesheni na kutoa huduma kwa pamoja. Kila la kheri,if u will need contact u just holla
Nchi hii ya ajabu sana aiseeeUkitaka personal contact za mtu pale care international, niPm nikupe za mama mmoja namfahamu pale unaweza ukaenda muona personally ujue kama kuna chance, maana siku hizi wengi wanabana sana kupata volunteers hata kama ni bure
Unashangaa nini ? nenda feri uone shilingi inazama meli inaelea.khaaaaaa!