Msaada....

Msaada....

Mtoto laanakum! Yaani uko tayari kuua wazazi ili ulelewe na lizzy? Lol
Hadija Mwanamboka ana kituo cha kulea yatima Kinondoni na huwa anahitaji volunteers(nitakuwekea contacts hapa hivi punde), na pia kuna yatima Uporoto ambaye atashukuru kupata malezi mazuri wa muda huo mfupi.
 
FHI/Tanzania

Street Address:
FHI
Ali bin Said Street
Plot 1270, Oysterbay (behind Karibu hotel)
Mailing Address:
PO Box 78082
Dar es Salaam, Tanzania
Telephone:
255 0 22 266 7815
Fax:
255 22 260 7819
FHI 360

CARE Tanzania
P.O.BOX 10242
Dar es Salaam
Save the Children

Foundation For Civil Society
The Foundation for Civil Society | Tanzania

Tanzania Association of NGO's - TANGO
Off Shekilango Road Sinza Afrika Sana
P.O.BOX 31147 Dar es Salaam
+255 22 277 4582

Hope this helps.....If i get more i will add, most of the NGO's in Tanzania hawana addresses wala websites sometimes inabidi uende physically pale pale ili uweze kuonana na contact person

dogo big up sana na wewe
ubarikiwe
 
hongera Lizzy kwa kuwa na moyo huo..
ushauri wangu ungechukua na kuomba watu wakupe
nguo zao nzuri lakini haawazivai kwa sababu zozote zile

hizi zitawasaidia sana ukiwapelekea watoto yatima..

narudia hapa NGUO ZIWE NZURI na sio zile za kutupa...

Thanks for idea Boss...
Mwenyewe nilifikiria ila sikua nimeamua kama nifanye hivyo au la!!
Will see what can I do...
 
Ntakua Dar katikati ya Dec - katikati ya Jan na nnahitaji sehemu ambayo naweza kufanya kazi... VOLUNTARILY..

Wasiliana na wizara ya mambo ya ndani kule Magereza wanahitaji sana watu wakujitolea
Nikupe mawasiliano ka Kamishna wa Magereza?
 
Lizzy, I wish ungeenda arusha, kuna nkoaranga orphans home. Iko like 15 kms from arusha town, owned by kkkt. Adorable kids,have had lunch with them a few times. Kama usipopata dar,I'm sure uta-vekesheni na kutoa huduma kwa pamoja. Kila la kheri,if u will need contact u just holla
 
Pia kuna SOS Children's Village Tanzania check na hii website Welcome to the website of SOS Children's Villages Tanzania!, the location of the office iko Kinondoni

[TABLE="class: contentpaneopen-contact, width: 100%"]
[TR]
[TD="class: contentheading-contact, width: 100%"]SOS Children's Villages Tanzania - National Office[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="align: right"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="width: 100"]Address:[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Plot 47, Uporoto Street
Kinondoni
P.O. Box 80462[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Dar es salaam[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]P.O.Box 80482[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tanzania[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="width: 100"]E-mail:[/TD]
[TD]national.office@sos-tanzania.org[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100"]Telephone:[/TD]
[TD]+ 255 22 2460526[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100"]Fax:[/TD]
[TD]+ 255 22 2460528[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Wasiliana na wizara ya mambo ya ndani kule Magereza wanahitaji sana watu wakujitolea
Nikupe mawasiliano ka Kamishna wa Magereza?

DUh...Fidel magereza aisee!!
Labda kama itakua upande wa wanawake...nirushie contact nione kama kuna kitu naweza kufanya huko.
 
Lizzy, I wish ungeenda arusha, kuna nkoaranga orphans home. Iko like 15 kms from arusha town, owned by kkkt. Adorable kids,have had lunch with them a few times. Kama usipopata dar,I'm sure uta-vekesheni na kutoa huduma kwa pamoja. Kila la kheri,if u will need contact u just holla

Wow...hiyo sehemu ingenipendeza kweli wifi vile iko nje ya mji...
Labda ntajaribu huko next time!!
 
Ukitaka personal contact za mtu pale care international, niPm nikupe za mama mmoja namfahamu pale unaweza ukaenda muona personally ujue kama kuna chance, maana siku hizi wengi wanabana sana kupata volunteers hata kama ni bure
 
Nchi hii ya ajabu sana aiseee
 
Kweli kujitolea ni moyo ni siyo mapafu wala figo... Ubarikiwe lizzy kwa moyo wako huo wa kujitolea.
 
Back
Top Bottom