klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Unashangaa nini ? nenda feri uone shilingi inazama meli inaelea.
Mkuu nilikuwa hapa zamani kabla yako ni harakati za 'kurudisha majeshi tu' kwa sasa.Kamanda unaingia anga zangu ujue! tusje tukaonana wabaya ohooo!
Dah! kamanda unanikonfyuzi sasa, kule mpwapwa sasa nabaniwa naitwa shemeji sasa nachombeza chombeza unga ltd na wewe ushatia timu. khaaa! kimelipukaMkuu nilikuwa hapa zamani kabla yako ni harakati za 'kurudisha majeshi tu' kwa sasa.
Kule Mpwapwa mmmh! nakuachia wewe mkuu nimestuka.Dah! kamanda unanikonfyuzi sasa, kule mpwapwa sasa nabaniwa naitwa shemeji sasa nachombeza chombeza unga ltd na wewe ushatia timu. khaaa! kimelipuka
Dah! jibaba ushanikonfyuzi, hapa hata keyboard siioni vizuri. khaaaa! halaf umekuja kighafla kama radi ya jangwaniKule Mpwapwa mmmh! nakuachia wewe mkuu nimestuka.
Daddy Ngabu Early Childhood and Daycare Center
PO Box 35050
Upanga
Dar es Salaam, Tanzania
Soma katikati ya mistari utaelewa tu lol!​Hii hata mimi nina mashaka nayo! Labda, jaribu but be careful.
Kwani Lizzy huwa unakalia pande za wapi humu duniani? (Nataka kujua tu).Lolzz!Sasa namba ya simu iko wapi??Naogopa kwenda kukabwa kabari huko nisikukujua!
Kama unaweza nipatia Ndyoko maana naona msako unakua mgumu kuliko nilivyotarajia!!Ukitaka personal contact za mtu pale care international, niPm nikupe za mama mmoja namfahamu pale unaweza ukaenda muona personally ujue kama kuna chance, maana siku hizi wengi wanabana sana kupata volunteers hata kama ni bure
Nchi hii ya ajabu sana aiseee
thank God for people like you!!!
ushauri tu, kama una special knowledge or skills ungeziweka hapa tukutafutie sehemu ambayo utatumika more efficiently as a specialist in your area of knowledge.
just maoni yangu!!!
all the best dear
Soma katikati ya mistari utaelewa tu lol!
Utalipa????Lolzz!