Msaada....

Msaada....

Kamanda unaingia anga zangu ujue! tusje tukaonana wabaya ohooo!
Mkuu nilikuwa hapa zamani kabla yako ni harakati za 'kurudisha majeshi tu' kwa sasa.

Hebu acha longolongo msaidie Celebrity wetu apate sehemu ya kujitolea si ulidai una sehemu ya kulea yatima pale Popobawa ? au ilikuwa njia ya kula hela za wafadhili kama Mama Lwakatare enzi zileee.
 
Ukitaka personal contact za mtu pale care international, niPm nikupe za mama mmoja namfahamu pale unaweza ukaenda muona personally ujue kama kuna chance, maana siku hizi wengi wanabana sana kupata volunteers hata kama ni bure
Kama unaweza nipatia Ndyoko maana naona msako unakua mgumu kuliko nilivyotarajia!!

Nchi hii ya ajabu sana aiseee

My thoughts exactly....
Kweli kazi tunayo!!
 
thank God for people like you!!!


ushauri tu, kama una special knowledge or skills ungeziweka hapa tukutafutie sehemu ambayo utatumika more efficiently as a specialist in your area of knowledge.

just maoni yangu!!!

all the best dear
 
Be prudent,directional, dilligent and curoius. Hope success is registered on your face.
 
thank God for people like you!!!


ushauri tu, kama una special knowledge or skills ungeziweka hapa tukutafutie sehemu ambayo utatumika more efficiently as a specialist in your area of knowledge.

just maoni yangu!!!

all the best dear


Thanks Ari..
Ummm mwanzoni sikuona umuhimu wa kuongelea nashughulika na nini sasa hivi kwasababu sijali sana shughuli gani ntaishia kufanya huko ntakapopata nafasi...as long as i'm helping ila kama inasaidia nasomea psychology at the moment.
 
Mbna Dar tu plz njoo hadi LUSHOTO Irente kuna kituo cha watoto yatima wasioona na albino Jenseny +255658825141
 
Mbna Dar tu plz njoo hadi LUSHOTO Irente kuna kituo cha watoto yatima wasioona na albino Jenseny +255658825141

Ngoja nione mambo yanakuwaje alafu tutawasiliana!!
 
Back
Top Bottom