Imany John
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 2,935
- 1,185
kuna jamaa yangu anatokewa sana na vijipu usoni,ameenda sana hospitali,kapima damu,wakamwambia hana shida.
Je kuna dawa atakazomeza ili kumwondole tatizo ilo linaromrudia mara kwa mara?
Nawasilisha!
Je kuna dawa atakazomeza ili kumwondole tatizo ilo linaromrudia mara kwa mara?
Nawasilisha!