Msaada...

Msaada...

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Posts
2,469
Reaction score
284
Wadau..Heri ya Mwaka Mpya!!
Nahitaji kufahamu Mtu/ Taasisi inayotoa mikopo midogo kwa kukuza biashara changa. Dhamana ya mkopo ni mali(assets) za kampuni.. Mabenki yasiwemo katika hili sababu masharti yao bado mazito kwa mjasiriamali anayeanza biashara… muda unasonga… biashara inatia moyo….
Ahsanteni sana!!!!
 
Back
Top Bottom