Mkeshahoi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2009
- 2,469
- 284
Wadau..Heri ya Mwaka Mpya!!
Nahitaji kufahamu Mtu/ Taasisi inayotoa mikopo midogo kwa kukuza biashara changa. Dhamana ya mkopo ni mali(assets) za kampuni.. Mabenki yasiwemo katika hili sababu masharti yao bado mazito kwa mjasiriamali anayeanza biashara muda unasonga biashara inatia moyo .
Ahsanteni sana!!!!