Msaada

Msaada

Akidu

Member
Joined
Sep 19, 2022
Posts
47
Reaction score
80
Hellow guys
naomba usaidizi kwa aliye na group la kidato cha sita private candet arts combination's especially HGK OR HGL wanaotaraji kufanya mtihani mwakani
please tuwasiliane tafadhari kama upo kwenye group lolote lile
 
Hellow guys
naomba usaidizi kwa aliye na group la kidato cha sita private candet arts combination's especially HGK OR HGL wanaotaraji kufanya mtihani mwakani
please tuwasiliane tafadhari kama upo kwenye group lolote lile add my contact 0628366559
Kijana komaa soma vitabu zaidi na Cha msingi fanya group discussion na wenzako acha mambo ya ma group Whatsapp mambo ya possible sahauni VIJANA SOMENI MUELEWE MSIKARIRI MTAUMIA. Afu Jf sio fb Huku Kuna majambazi,wauaji,wabakaji,polisi wezi, waongo level ya PhD, Yani ni wewe tu tupo weng so ACHA KUBANDIKA NAMBA ZAKO HAPO FOR ANY MATTER WE DON'T TRUST ANYONE HERE NO MATTER FOR GOOD OR BAD.
 
Asante sana lakini siko katika kutafuta possible no only kupata member wa kuwa tunapiga paper online
 
Sàwa ka sio kwaajili ya possible ila from my experience kama unakituo unafanyia mafunzo(masomo) better ukafanya discussion na wenzako ila kama huna kituo nenda au tafuta watu kutoka kwenye hivyo vituo itakuwa better zaidi.JF SIO KWA MCHEZOMCHEZO AU KWA SABABU HAYAKUKUTA
 
Back
Top Bottom