Inaoneka umri wa mwanaume umesogea kwenye 40 hivi na mke 30 .Sasa yeye anaona umri umeenda kila akijaribu anabaki ola. Je mke atakubali mwamme atoke nje.Je mali walizonazo {nyumba,gari} atarithi nani
Umri kitu gani bwanaaa. Aachane na mambo hayo. Akae na mke wake kwenda nje sio kigezo cha kupata mtoto.Inaoneka umri wa mwanaume umesogea kwenye 40 hivi na mke 30 .Sasa yeye anaona umri umeenda kila akijaribu anabaki ola. Je mke atakubali mwamme atoke nje.Je mali walizonazo {nyumba,gari} atarithi nani