Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Jan 23, 2012 #1 naomba kuuliza,hivi bank teller alieishia form 6 analipwa kias gan?
P priscilla Member Joined Oct 1, 2011 Posts 32 Reaction score 0 Jan 23, 2012 #2 inategemea na kampuni ila kama unaanza ni 350,000k baada ya kumaliza prob ndo wakuongezee ifike laki nne na kitu.
inategemea na kampuni ila kama unaanza ni 350,000k baada ya kumaliza prob ndo wakuongezee ifike laki nne na kitu.
S Spear_ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 1,615 Reaction score 545 Jan 23, 2012 #3 Una experience ya muda gani? kama ndo unatokea Chuo na unaangalia mshahara...wakati huna experience yoyote angalia usiozee nyumbani, changamka upate experience kwanza!! hongera kwa kupata kazi coz now dayz ni ishu!!
Una experience ya muda gani? kama ndo unatokea Chuo na unaangalia mshahara...wakati huna experience yoyote angalia usiozee nyumbani, changamka upate experience kwanza!! hongera kwa kupata kazi coz now dayz ni ishu!!