msaada

msaada

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
naomba kuuliza,hivi bank teller alieishia form 6 analipwa kias gan?
 
inategemea na kampuni ila kama unaanza ni 350,000k baada ya kumaliza prob ndo wakuongezee ifike laki nne na kitu.
 
Una experience ya muda gani? kama ndo unatokea Chuo na unaangalia mshahara...wakati huna experience yoyote angalia usiozee nyumbani, changamka upate experience kwanza!! hongera kwa kupata kazi coz now dayz ni ishu!!
 
Back
Top Bottom