Mimi ni kijana wakitanzania wa kiume na kiwango changu cha elimu ni kidato cha sita na nina ujuzi wa kompyuta kama microsoft word exel na internet $ email na pia naweza kuzungumza kwa ufasaha kiingereza na kiswahili na napenda sana ukiachilia swala la kipato, kufanya kazi na kampuni za simu kama vodacom, airtel na hata tigo hasa kitengo cha huduma kwa wateja. Naaombeni kama kuna mtu anauzoefu na maswala haya ya ya jinsi ya kuomba kazi kama hii ya uhudumu kwa makampuni tajwa hapo juu anisaidie. Napenda kuwasilisha