Msaada

Msaada

RORYAKWETU

Member
Joined
Nov 18, 2011
Posts
83
Reaction score
13
Mimi ni kijana wakitanzania wa kiume na kiwango changu cha elimu ni kidato cha sita na nina ujuzi wa kompyuta kama microsoft word exel na internet $ email na pia naweza kuzungumza kwa ufasaha kiingereza na kiswahili na napenda sana ukiachilia swala la kipato, kufanya kazi na kampuni za simu kama vodacom, airtel na hata tigo hasa kitengo cha huduma kwa wateja. Naaombeni kama kuna mtu anauzoefu na maswala haya ya ya jinsi ya kuomba kazi kama hii ya uhudumu kwa makampuni tajwa hapo juu anisaidie. Napenda kuwasilisha
 
ndugu si ungemtafuta customer care yeyote wa kampuni yeyote kati ya izo uzipendazo naic ungepata msadaa zadi
 
Andaa CV yako peleka pale EROLINK ni kampuni ambayo Vodacom wamewapa Tender ya kuwatafutia wafanyakazi wa Customer care..Erolink hipo nyuma ya kituo cha morrocco /Kinondoni kama unarudi Victoria barabara ya kwanza ukitoka mataa kuna kanisa la wamarekani ukiulizia mtu yeyote utaoneshwa.
 
Mungu akikijaalia ukapata chance tafuta namna ya kuongezea na kiwango cha elimu yako. Ushindani ni mkubwa sana na challenges always haiishi.
 
But never gv up. Get rich or die trying...you have to walk through the ideas provided above. Wshng you all the best.
 
Back
Top Bottom