Msaada!!

Msaada!!

Dodo18

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2011
Posts
315
Reaction score
93
Salaam wana JF!! Nina kama 15 million na nataka nijitose kwenye biashara ya mbao !! Kuna jamaa anajuana na dada yangu anafanya hivyo na rafiki yake wameingia kama ubia. From what I hear and saw jamaa anapiga hela sana. Wana mashine zao za kuchongesha mbao kule porini na wafanyakazi kama 50. Mtu yoyote mwenye ufahamu wa hii biashara ntashukuru msaada wenu..
 
No one with any ideas ??? ?? Come on great thinkers !!!
 
Back
Top Bottom